Nafasi 53 za kazi Halamashauri ya wilaya Nachingwea -Afisa watendaji vijiji
Nafasi 53 za kazi Halamashauri ya wilaya Nachingwea -Afisa watendaji vijiji
Author -
CT Tiptz
March 28, 2018
Tangazo la Kazi kwa Watendaji wa Vijiji Daraja la III nafasi 53
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri anakaribisha maombi ya nafasi za kazi kwa watendaji wa vijiji. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10.04.2018
Tangazo la Kazi watendaji wa vijiji.pdf