Tangazo la Nafasi za Kazi Wilayani Buhigwe
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Tanzania wenye sifa za kuajiriwa katika Utumishi wa umma kuomba kazi kwa
nafasi ya MTENDAJI wA KIJIJi DARAJA LA III kwa ajili ya Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe.
Kwa maelezo zaidi Pakuwa Tangazo hilo la kazi hapo chini
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.pdf